1860; Ni Mpaka Wewe Uwape Ruhusa…
Hakuna mtu yeyote anayeweza kufanya chochote kwako mpaka wewe utakapompa ruhusa ya kufanya hivyo. Hakuna anayeweza kukuumiza wewe, mpaka wewe umpe ruhusa kwa kuchagua kuumia. Mtu anaweza kufanya atakacho, kwa lengo la kukuumiza, lakini hawezi kukuumiza kama wewe hujampa ruhusa. Unapokubali kuumia, unakuwa umempa mtu ruhusa ya kukuumiza. Hata wale (more…)
