1850; Ni Rahisi Kupata Sababu…
Kama kuna kitu rahisi kupata kwenye maisha basi ni sababu, Haijalishi ni za kweli au uongo, sababu huwa rahisi sana kupatikana, na nyingi huwa ni za uongo. Kwa matokeo yoyote yale unayopata, sababu tayari inakuwa inaambatana na matokeo yake. Kama umeshinda utakuwa na sababu nyingi za kukuaminisha kwa nini umeshinda. (more…)
