2415; Zawadi na Adhabu…
2415; Zawadi na Adhabu… Kituo kimoja cha kulelea watoto (day care) kiliona baadhi ya wazazi wamekuwa na tabia ya kuchelewa kuwachukua watoto wao. Kituo hicho kikaamua kuweka adhabu ya faini kwa kila mzazi anayechelewa kumchukua mtoto wake. Lengo la faini hiyo ilikuwa ni kuondoa hali ya wazazi kuchelewa. Matokeo yakawa (more…)
