1797; Ukombozi Kamili Ni Kujitegemea…

By | December 2, 2019

Matumaini ni mtego ambao umetumika kuwanasa watu wengi sana. Tunajikuta tunakuwa tegemezi kwa wengine kwa matumaini hewa wanayotupa, ambapo hakuna namna matumaini hayo yanaweza kufikiwa. Wanasiasa wanatupa matumaini, kwamba tukiwachagua maisha yetu yatakuwa mazuri, kila tunachotaka tunakipata, tunawaamini na kuwategemea. Wanapopata nafasi hadithi yao inabadilika, yale matumaini waliyotupa kwamba watayafanya (more…)

1795; Siyo Kukariri…

By | November 30, 2019

Kadiri maendeleo yanavyotokea kwenye sayansi na teknolojia, ndiyo mfumo wa elimu unavyozidi kuachwa nyuma. Mfumo huu wa elimu unaotumika sasa, umeweka mkazo mkubwa kwenye kukariri yale ambayo mtu anapaswa kuyajua na ambayo atakwenda kuyatumia kwenye kazi zake. Hili lilikuwa muhimu kipindi cha nyuma, ambapo haikuwa rahisi kupata maarifa na taarifa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; ONGOZWA NA FIKRA…

By | November 30, 2019

“The person who follows reason in all things will have both leisure and a readiness to act—they are at once both cheerful and self-composed.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 10.12b Hongera mwanamafanikio kwa kuiona siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi (more…)

1794; Nani Ametoka Hapa?

By | November 29, 2019

Watu wanaweza wasikuambie, lakini tayari wameshakuweka kwenye viwango vyao wenyewe kupitia kile unachokifanya. Iwe ni kazi au biashara, wale wanaohusika na wewe moja kwa moja wameshakuweka kwenye viwango na kupitia matokeo unayotoa, mtu anaweza kujua kabisa ni wewe umefanya kitu hata kama haupo. Hivyo kuwa makini sana na kila unachofanya, (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MAMBO YATAKWENDA VIZURI…

By | November 29, 2019

“Don’t lament this and don’t get agitated.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 7.43 Sisi ni nani mpaka tustahili kuiona siku hii ya leo? Tukiwaangalia wale ambao walikuwa na mipango mikubwa kwa siku hii ila hawajaifikia, ndiyo tunagundua kwamba tuna bahati ya kipekee kuiona siku hii. Siyo kwa nguvu zetu wala ujanja wetu, (more…)

1793; Umaarufu Bila Kazi…

By | November 28, 2019

Mtu mmoja amewahi kusema kwamba sehemu pekee ambapo mafanikio yanapatikana bila ya kuweka kazi ni kwenye kamusi. Kuna neno hulijui, unafungua kamusi na jibu unalipata mara moja, hakuna haja ya kusumbuka. Vitu vingine vyote vinahitaji kazi kabla hujapata matokeo unayotaka. Kwenye zama tunazoishi sasa, kumekuja kitu kingine cha kushangaza. Kitu (more…)