1698; Matumizi Mazuri Ya Tabia Ya Kuahirisha Mambo…
Hakuna kitu kisichokuwa na manufaa kwenye maisha yetu. Hata kama kitu ni kibaya kiasi gani, kuna namna tunaweza kukitumia na kikaleta manufaa kwenye maisha yetu. Tabia ya kuahirisha mambo imekuwa kikwazo kwa watu wengi kupiga hatua na kufanikiwa kwenye maisha yao. Unakuwa na malengo makubwa na unapanga kabisa hatua za (more…)
