#TAFAKARI YA LEO; UKIMYA UNA NGUVU KUBWA…
“Silence is a lesson learned from the many sufferings of life.” —SENECA, THYESTES, 309 Shukrani ndiyo kitu pekee tunachoweza kutoa kwa nafasi hii nzuri tuliyoiona leo. Siyo kwa akili zetu, wala nguvu zetu, bali ni kwa bahati tu. Kuhakikisha tunaitumia vizuri nafasi hii ya leo, nafasi ambayo wapo wengine wangekuwa (more…)
