Barua ya XVII; Kuhusu Falsafa Na Utajiri.

By | August 25, 2023

Barua ya XVII; Kuhusu Falsafa Na Utajiri. Rafiki yangu Mstoa,Watu wengi wamekuwa wanachukulia falsafa na utajiri kama vitu ambavyo haviwezi kwenda pamoja.Kama ambavyo wengi wanavyochukulia imani na utajiri haviwezi kwenda pamoja. Hivyo wale wanaochagua falsafa wanaamua kuachana kabisa na mambo ya utajiri.Huku wale wanaohangaika na utajiri wakipuuza kabisa falsafa. Lakini (more…)

Jinsi Ya Kuepuka Kununua Matatizo

By | August 19, 2023

Mstoa mwenzangu, Kama tulivyojifunza jana kwenye makala ya kwanza ya ustoa, tunapaswa kuwa wanafalsafa kwa kuishi falsafa kwa matendo na siyo maneno.Falsafa ni kupenda hekima,na hekima ni kupenda kujifunza na kuchukua hatua. Huwezi kuwa na furaha kama huna hekima. Ukiwa huishi falsafa, utakua ni mtu wa kununua matatizo ya watu (more…)

Barua ya XVI; Falsafa kama mwongozo wa maisha.

By | August 18, 2023

Barua ya XVI; Falsafa kama mwongozo wa maisha. Rafiki yangu Mstoa,Watu wengi wanaposikia kuhusu falsafa, huwa wanafikiria watu wenye akili na uelewa mkubwa wa mambo ambao wanabishana maswali magumu ya maisha kama nini maana ya maisha, nini kinatokea baada ya kifo n.k. Kwa baadhi ya falsafa ndivyo mambo yalivyo. Lakini (more…)

Kwa Nini Dini Zote Zinapaswa Kuwa Na Uvumilivu

By | August 12, 2023

Mpendwa mstoa mwenzangu, Jana kwenye falsafa ya kwanza ya Ustoa tulijifunza umuhimu wa kuwa na afya ya akili, mwili na roho. Na tuliona kwamba , binadamu huwezi kukamilika kama hujakamilika kwenye maeneo hayo. Eneo la kiroho ndiyo eneo ambalo watu wengi bado hawajalipatia na linawafanya watu wengi kukosa shukrani na (more…)

Barua ya XV; Kujenga afya ya akili na roho.

By | August 11, 2023

Barua ya XV; Kujenga afya ya akili na roho. Rafiki yangu Mstoa, Sisi binadamu tuna mwili, akili, roho na hisia. Lakini inapokuja kwenye kujenga afya zetu, huwa tunahangaika zaidi na afya ya mwili na kusahau hizo afya nyingine.Angalia gharama ambazo watu huwa wanaingia kwenye kujenga afya ya mwili, kuanzia ulaji, (more…)

Barua ya XIV; Kuhusu kujitenga na dunia.

By | August 4, 2023

Barua ya XIV; Kuhusu kujitenga na dunia. Rafiki yangu Mstoa,Inapokuja swala la kuishi kifalsafa, watu wengi wanaweza wasikuelewe.Unapochagua kuishi maisha ambayo ni ya tofauti na wengine, inaleta hali ya kushindwa kuelewana nao. Hilo linaweza kupelekea mtu kutamani kujitenga na dunia ili kuondokana na hali hiyo ya usumbufu.Lakini hilo siyo sahihi, (more…)

Yajue Yaliyo Ndani Ya Uwezo Wako Na Yaliyo Nje Ya Uwezo Wako

By | July 29, 2023

Habari njema rafiki yangu mstoa mwenzangu, Mchezo mzima maisha yetu uko hapa. Kama tukiweza kuyajua yale ambayo yako ndani ya uwezo wetu na yale ambayo yako nje ya uwezo wetu tutaweza kuishi maisha yetu kwa uhuru zaidi.Mambo mengine yanatokea yanatupa hofu kwa nini yametokea bila kujua hata hatuwezi kuyadhibiti kutokea (more…)

Barua ya XI; Kuhusu tabia za asili.

By | July 14, 2023

Barua ya XI; Kuhusu tabia za asili. Rafiki yangu Mstoa, Watu huwa tuna tabia mbalimbali ambazo tunakuwa nazo.Baadhi ya tabia hizo huwa ni za asili kwetu, yaani tumezaliwa nazo, wakati tabia nyingine huwa tunaziiga. Kuna wakati tabia tunazokuwa nazo zinakuwa kikwazo kwetu na hivyo kutaka kuzibadili.Kwa tabia za kuiga, huwa (more…)