💥 #TAFAKARI YA LEO; UBISHI….
Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Tutumie siku hii ya leo kufanya makubwa kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu UBISHI… Hakuna chochote kikubwa unachotaka (more…)
