UKURASA WA 597; Kufanya Makosa…
Kufanya makosa ni kitu ambacho kimekuwa kinapewa taswira hasi kwenye ulimwengu tunaoishi sasa. Kufanya makosa kunaonekana kama ni kitu kibaya na anayefanya makosa hayo ni mtu mwenye uwezo mdogo. Mtazamo huu juu ya makosa umewafanya wengi kuogopa kuchukua hatua. Wengi wameshindwa kuchukua hatua kwa kuhofia kufanya makosa na kuonekana kama (more…)
