UKURASA WA 606; Kila Maisha Yana Thamani…
Kuna watu wengi ambao huwa wanafikia hatua ya kuona maisha yao hayana thamani tena. Ni katika hatua kama hizi wanachukua maamuzi ambayo yanaharibu kabisa maisha yao. Wanakuwa hawajali tena, hivyo wanafanya mambo ya hovyo kama ulevi na wengine kufikia hatua ya kujiua kabisa. Inachukua nguvu kubwa sana kufikia hatua hii (more…)
