UKURASA WA 470; KUWA. FANYA. PATA. TOA.
Huo ndiyo mzunguko wa maisha, ambao huwezi kuvuka hatua hata moja, ni lazima uanze hatua ya kwanza ndipo uende ya pili mpaka ya mwisho. KUWA. Ni lazima uwe mtu ambaye anaendana na kile ambacho unakitaka. Kama unataka kuwa na mafanikio, lazima uwe mtu ambaye anayaendea mafanikio. Lazima ujijengee tabia zinazoendana (more…)
