UKURASA WA 460; Kiranja Wa Dunia…
Jana kuna watu wengi wameweza kufanya mambo yao vizuri tu bila ya wewe kuwepo. Kuna siku ambazo hukuweza kwenda kwenye kazi yako au biashara yako na waliopo chini yako waliweza kufanya kazi zao bila ya matatizo. Mtoto wako au mdogo wako au yeyote ambaye yuko chini ya uangalizi wako kuna (more…)
