UKURASA WA 135; Kitu Hiki Unachokilinda Ndio Adui Wa Mafanikio Yako.
Leo nakupa siri kubwa sana ambayo huenda sijawahi kukupa japo nimekuwa nakuandikia kila siku. Siri hii imeniwezesha kufanya mambo mengi ambayo awali nilikuwa naona siwezi kuyafanya. Hata wewe kuna mambo mengi sana ambayo unaona huwezi kuyafanya ila sio kwmaba huwezi kweli, bali kuna kitu unachokilinda na kitu hiko kinakuzua wewe (more…)
