#SheriaYaLeo (151/366); Kila mtu anataka mamlaka zaidi.
#SheriaYaLeo (151/366); Kila mtu anataka mamlaka zaidi. Watu huwa wanafanya yale wanayofanya ili kupata mamlaka zaidi. Ipo kauli kwamba mamlaka huwa yanawaharibu watu. Lakini kinyume chake pia ni kweli. Kukosa mamlaka kunawaharibu watu pia. Hakuna anayeweza kuvumilia hali ya kutokuwa na mamlaka. Hivyo mtu hufanya lolote ili tu kupata mamlaka. (more…)
