2645; Mstari ni mwembamba sana.

By | March 29, 2022
2645; Mstari ni mwembamba sana. Kuna mstari mwembamba sana kati ya ushujaa na utapeli. Kadhalika katika ya kufanikiwa na kushindwa, mshari ni mwembamba sana. Elon Musk huwa anasema ilikuwa imebaki siku moja tu kampuni yake ya Tesla ifilisike. Kampuni ilikuwa inahitaji sana fedha na hakukuwa na aliyekuwa tayari kuwezeka kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz