#SheriaYaLeo (224/366); Bobea sanaa ya maigizo.

By | June 12, 2022
#SheriaYaLeo (224/366); Bobea sanaa ya maigizo. Huwezi kufanikiwa kwenye kuwashawishi wengine bila kubobea kwenye lugha na sanaa ya maigizo. Lazima uweze kupenyeza maneno yenye ushawishi wakati wa mazungumzo na wengine. Yanakuwa ni maneno ambayo wengine hawayatarajii, lakini yanajenga ushawishi mkubwa kwao. Ili maneno hayo yawe na nguvu ya ushawishi unapaswa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz