2416; Kuanzia chini ni kazi kubwa…
2416; Kuanzia chini ni kazi kubwa… Mimi siyo mfuatiliaji wa michezo kabisa, lakini kama ambavyo nimekuwa nasema, kuna mambo utayasikia tu hata kama siyo mfuatiliaji wa habari. Siku za hivi karibuni kumekuwa na mivutano kwenye timu kubwa za mpira Tanzania, hasa timu ya Simba ambapo kuna migogoro mbalimbali ya ndani. (more…)
