1824; Unataka Kushinda Mbio Zipi?
Kila mtu kwenye maisha kuna mbio ambazo anashiriki, na kila mtu anayo nafasi ya kushinda zile mbio ambazo amechagua kushiriki. Kinachowatofautisha wanaofanikiwa na wanaoshindwa ni aina ya mbio ambazo mtu amechagua kushiriki. Kuna aina kuu ya mbio kwenye kila eneo la maisha yetu. Aina ya kwanza ni mbio za kuelekea (more…)
