1819; Kilele Cha Mafanikio…
Hadithi za watu wote ambao waliwahi kufanikiwa sana lakini baadaye wakaanguka huwa zinaeleza maisha ya watu hao wakati walipokuwa kwenye kilele cha mafanikio. Kilele cha mafanikio ndiyo sehemu hatari kuliko zote katika safari ya mafanikio. Kwa sababu ndiyo sehemu ambayo mtu anaanza kuporomoka na kuanguka. Ni kanuni ya asili kwamba (more…)
