1445; Hata Kama Hawasemi, Lakini Kila Mtu Anajua Anachotaka…
Kuna watu huwa tunawaona wapo wapo tu, hawaeleweki nini wanafanya au wapi wanakwenda. Ni rahisi kusema watu hawa hawajui wanachotaka, au ni wavivu au wazembe na kadhalika. Lakini ukweli ni kwamba, kila mtu anajua kile anachotaka kwenye maisha yake, tena anajua kwa uhakika kwa namna anavyokitaka. Ila tu wengi huwa (more…)
