Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1440; Adui Namba Moja Kwenye Uwekezaji…

By | December 10, 2018

Ni hisia zako, hisia zako ndiye adui namba moja kwenye uwekezaji wako. Pia hisia zako kama hutaweza kuzidhibiti, zitakuwa adui wako wa kwanza kwenye mafanikio yako. Hisia kuu mbili zinazowavuruga wengi kwenye uwekezaji ni hofu na tamaa. Wakati ambapo fursa ya kuwekeza zaidi inapatikana, watu huwa wanatawaliwa na hofu wakiona (more…)

#TAFAKARI YA LEO; ACHA MARA MOJA…

By | December 10, 2018

Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Tumepata nafasi nyingine bora sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili tuwezw kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa TATUA, AMUA NA ONGOZA tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku (more…)

1439; Ni Rahisi Kutokuifanya Kazi Unayopaswa Kufanya…

By | December 9, 2018

Asili ni kama inatutega, kama inatupa ushawishi tusifanye yale ambayo tunapaswakuyafanya. Chukua mfano wa shamba, kuwa na shamba zuri na lenye rutuba na mvua zipo, yataota magumu mengi, ambayo hayana hata matumizi. Hapo hujalima wala kufanya chochote, yanaota magumu na yanaota vizuri. Kwa nini yasingeota mazao ambayo wewe unayahitaji? Hapa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; FANYA KILICHO SAHIHI…

By | December 9, 2018

Marcus Aurelius’s admonishment to himself, “Just that you do the right thing. The rest doesn’t matter. Cold or warm. Tired or well-rested. Despised or honored.” Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza (more…)

1438; Kelele Zaidi Haitakusaidia…

By | December 8, 2018

Wote tunajua ya kwamba ili kufanikiwa lazima uweze kuitofautisha na wengine. Kufanya kile ambacho kila mtu anafanya, kwa namna ile ile ambayo wanafanya, kutakupelekea kupata matokeo ambayo wengine wanafanya. Sasa kama hayo ndiyo matokeo ambayo umekuwa unayapata na hayajakufikisha unakotaka kufika, unahitaji kuanza kufanya tofauti. Na tofauti unayopaswa kufanya ni (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; UNACHOKIKIMBIA KIPO NDANI YAKO…

By | December 8, 2018

“The things you run from are inside you” Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa TATUA, AMUA (more…)

1437; Jawabu La Hofu Ni Ujasiri…

By | December 7, 2018

Kama unasubiri usiwe na hofu kabisa ndiyo uweze kufanya unachotaka kufanya, hutaweza kupiga hatua yoyote kwenye maisha yako. Maisha yetu tangu tunapozaliwa, tumezungukwa na hofu, na kinachotuwezesha kupiga hatua siyo kusubiri hofu iondoke, bali kuwa na ujasiri wa kuchukua hatua licha ya hofu kuwepo. Kitendo tu cha kuzaliwa kimejawa na (more…)

#TAFAKARI YA LEO; JIFUNZE KUJIELEZA NA SIYO KUJIONESHA…

By | December 7, 2018

“Learn to express, not impress.” – Jim Rohn Siku mpya, Siku bora, Siku ya kipekee sana kwetu. Tumapata nafasi nyingine nzuri sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa TATUA, AMUA NA ONGOZA tunakwenda (more…)

1436; Nidhamu Siyo Kitu Kigumu…

By | December 6, 2018

Msingi mkuu wa mafanikio umejengwa kwenye nidhamu, bila nidhamu hakuna hatua ambayo mtu anaweza kupiga. Bila nidhamu mipango mikubwa inabaki kuwa hadithi zisizotekelezeka. Wengi wamekuwa wazuri kwenye kupanga, lakini inapofika kwenye utekelezaji, wengi wamekuwa wanashindwa kuchukua hatua, wapo ambao hata hawaanzi kabisa. Lakini pia wapo ambao wanaanza na kuishia njiani. (more…)