Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1410; Matokeo Na Mchakato….

By | November 10, 2018

Kuna kitu kimoja kidogo sana ambacho kinawatofautisha wale wanaofanikiwa sana na wale wanaoishi maisha ya kawaida na hata kushindwa. Kitu hicho ni eneo lipi wameweka mkazo wao kati ya matokeo na mchakato. Watu wa kawaida, wale ambao hawajafanikiwa, huwa wanaweka mkazo wao kwenye matokeo, huwa wanaangalia nini wanapata na kujaribu (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KAMA HUNA SABABU KUU YA KUFANYA, NI BORA UACHE…

By | November 10, 2018

In business (and perhaps in life), you’ve got to have a good reason for what you’re doing. And if you don’t have a good enough reason, you should probably ditch it. Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana kwetu. Tumepata nafasi nyingine nzuri na ya kipekee sana kwetu (more…)

1409; Fanya Vitu Hivi Vitatu Kujijengea Imani Ya Ndani Yako…

By | November 9, 2018

Kadiri kelele za dunia zinavyozidi kuwa kubwa, ndivyo amani ya ndani inavyozidi kupungua kwa wengi. Wengi hawana amani na utulivu wa ndani, hawana utegemezi wa ndani yao kwa maisha mazuri na ya furaha. Wengi wanaishia kubabaishwa na kelele zinazoendelea kwenye dunia, kelele ambazo hazidumu, ni za kupita na zikishapita zinajazwa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; DARAJA KATI YA MALENGO NA MAFANIKIO…

By | November 9, 2018

“Discipline is the bridge between goals and accomplishment.” – Jim Rohn Ni siku mpya, Siku bora na ya kipekee sana kwetu. Tumepata nafasi nyingine nzuri sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa TATUA, AMUA (more…)

1408; Usifurahie Maisha, Bali Tengeneza Maisha Utakayoyafurahia…

By | November 8, 2018

Watu wamekuwa wanaambiwa wayafurahie maisha kama yalivyo, wapokee kila wanachokutana nacho na kukitumia kama kilivyo. Hakuna ubaya wowote kwenye hili, lakini linakufanya uwe na maisha ya kawaida. Njia pekee ya kuwa na maisha ya kipekee, maisha bora na ya mafanikio makubwa kwako, siyo kwa kufurahia maisha kama yalivyo, bali kwa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; SAFISHA CHUMBA CHAKO KABLA HUJAIOKOA DUNIA…

By | November 8, 2018

“Clean your room before you save the world.” Ni siku nyingine mpya kwetu, Siku bora na ya kipekee sana, Siku ambayo tuna nafasi nzuri ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Hii ndiyo ile siku ambayo jana tulisema kesho tutafanya. Ni rahisi sana na leo kusema (more…)

1407; Hatua Mbili Za Kuwavutia Wateja Na Kuwafanya Wakuamini…

By | November 7, 2018

Kuwavutia wateja kwenye biashara yako siyo kitu kigumu sana, wengi wamekuwa wanadanganya na kutumia mbinu ambazo siyo sahihi ili tu kuwafanya wateja waje, na wengi wanakuja, ila wakishakuja mara moja hawarudi tena. Kuwavutia wateja na kuwafanya wakuamini kiasi cha kuweza kurudi tena na hata kuwaambia wengine waje kwako, ni kitu (more…)

#TAFAKARI YA LEO; SIYO LAZIMA UWE NA MAONI KWENYE KILA JAMBO…

By | November 7, 2018

Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana kwetu. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa TATUA, AMUA NA ONGOZA tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku ya maisha (more…)

1406; Njia Ya Uhakika Ya Kukuwezesha Kufanya Kila Unachopanga…

By | November 6, 2018

Kila mtu ni mzuri sana kwenye mipango, kuweka malengo na mipango ni rahisi, na kila mtu anaweza kufanya hivyo. Lakini inapokuja kwenye utekelezaji, ni wachache sana ambao wanaweza kutekeleza. Wengi hawaanzi kabisa, na wale wanaoanza, huwa hawafiki mbali. Ndani ya muda mfupi wanakata tamaa au wanaacha tu. Kama hili limekuwa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; TENGENEZA MIZANIA YA MAISHA YAKO KILA SIKU…

By | November 6, 2018

“I will keep constant watch over myself and – most usefully – will put each day up for review… Let us balance life’s books each day.” – Seneca Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa (more…)