Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1415; Njia Kuu Mbili Za Kutengeneza Faida Kwenye Biashara…

By | November 15, 2018

Dhumuni kuu la biashara ni kutengeneza wateja, na lengo la biashara baada ya kuwa na wateja ni kutengeneza faida. Kama biashara haitengenezi faida, haiwezi kudumu kwa muda mrefu, itaishia kuanguka na kufa. Wafanyabiashara wengi wamekuwa hawapo makini na namba zao za kibiashara, hasa upande wa faida. Huwa wanafurahi kuona fedha (more…)

1414; Data, Taarifa, Maarifa Na Hekima.

By | November 14, 2018

Hivi ni vitu ambavyo wengi hufikiri ni kitu kimoja hasa kwenye matumizi. Lakini siyo sahihi, ni kweli vinahusiana kwa karibu lakini siyo kitu kimoja. Data siyo taarifa, taarifa siyo maarifa na maarifa siyo hekima. Wengi hufikiri kwamba ukishajua kitu basi tayari umekuwa na hekima, lakini huo siyo ukweli. Tunaweza kuangalia (more…)

#TAFAKARI YA LEO; TABIA ITARAHISISHA MAMBO…

By | November 14, 2018

“Choose what is best, and habit will make it pleasant and easy.” — Plutarch Tuna siku nyingine mpya kabisa mbele yetu. Ni siku ambayo tumepata nafasi mpya na ya kipekee kwetu kwenda kufanya makubwa zaidi. Ni siku ambayo ina kila linalowezekana kwetu, kama tu sisi wenyewe tutachukua hatua sahihi kwenye (more…)

1413; Sifa Mbili Ya Kitu Unachopaswa Kufanya Ili Kufanikiwa…

By | November 13, 2018

Ukweli kuhusu mafanikio, na ambao nimekuwa natumia muda mwingi kukueleza ni kwamba unaweza kufanikiwa kwenye kitu chochote ambacho umechagua kufanya. Haijalishi ni kitu gani, kama utakifanya kwa misingi ya mafanikio basi utafanikiwa. Japokuwa kila kitu kinaweza kukupatia mafanikio, bado hutaweza kufanikiwa kama utafanya kila kitu kama ambavyo kila mtu anafanya. (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KAMA VILE WEWE HUJAWAHI KUKOSEA…

By | November 13, 2018

The Stoics teach us, when we butt up against someone else’s awfulness, to always remember when we ourselves have behaved like that. Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni siku ambayo tuliisubiri kwa shauku kubwa sana, Siku ambayo jana tulisema kesho tuta…. Kesho yenyewe ndiyo (more…)

1412; Unapodhani Umemaliza, Ndiyo Wakati Sahihi Wa Kuanza…

By | November 12, 2018

Mafanikio madogo yamekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi kufikia mafanikio makubwa. Watu huwa wanaanza safari ya mafanikio wakiwa na hamasa kubwa, wakiwa tayari kujitoa zaidi na kuchukua hatua hatari ili kupata kile wanachotaka. Wanakuwa hawana cha kupoteza na hivyo hakuna kinachoweza kuwazuia. Kwa namna hii wanavyoanza, inawasukuma sana kupiga hatua kubwa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; GHARAMA YA KUDANGANYA…

By | November 12, 2018

Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana kwetu. Ni nafasi bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa TATUA, AMUA NA ONGOZA tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku (more…)

1411; Tengeneza Bahati Nasibu Yako Mwenyewe…

By | November 11, 2018

Bahati nasibu na michezo mingine ya kubahatisha imekuwa ni kimbilio la wengi katika zama hizi. Jinsi ambavyo michezo hii inatangazwa na kupambwa, inawafanya wengi waamini kwamba wanaweza kushinda pia kama na wao watacheza. Tena kwa jinsi ambavyo zawadi zimewekwa kubwa, na uwekezaji wa mtu kuwa mdogo, inamfanya mtu aone kidogo (more…)