1405; Ifanye Tabia Yako Kuwa Mnara Utakaouacha Hapa Duniani…
Viongozi wakubwa wanapofariki dunia, huwa wanajengewa minara ambayo inawakumbusha watu kuhusu viongozi hao. Minara hiyo inakuwa kumbukumbu kwa yale makubwa ambayo wameyafanya. Kama wewe unataka kuacha kumbukumbu kubwa hapa duniani, na huna nafasi ya kujengewa mnara, basi ipo njia moja ya uhakika kwako kuacha mnara ambao watu wataendelea kuukumbuka mara (more…)
