UKURASA WA 904; Wakati Unapoona Kama Kila Kitu Hakipo Sawa…
Katika safari ya mafanikio, kuna wakati unaweza kuoka kama kila kitu hakipo sawa. Kwenye wakati kama huo unaweza kuona kama unakosea kila kitu. Huu ni wakati ambapo changamoto zinakuwa nyingi, na unapozitatua unaibua changamoto nyingine. Mambo uliyotegemea hayatokei na hapo ndipo unaona kuna mahali unakosea sana. Inawezekana ndiyo kuna sehemu (more…)
