Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 892; Chukua Hasara, Nawa Mikono, Songa Mbele….

By | June 10, 2017

Safari ya mafanikio siyo rahisi, haijawahi kuwa na haitakuja kuwa. Ni mchakato wenye changamoto nyingi sana. Nyingine zinaweza kutokana na watu ambao walipaswa kutekeleza majukumu yao kama mlivyokubaliana, lakini wasifanye hivyo. Na hii kupelekea wewe kupata hasara au kupoteza zaidi. Inapotokea hali hii, watu wengi hukimbilia kuwachukulia hatua wale ambao (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; EFFORTLESS SUCCESS…

By | June 9, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa, ili tuweze kupata matokeo bora sana. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya mambo makubwa kwenye leo na kila siku kwenye maisha yetu. Asubuhi ya leo titafakari kuhusu (more…)

Watu Waliofanikiwa Wanasema Uongo, Ndiyo Maana Wengi Wanaojifunza Kutoka Kwao, Hawafanikiwi.

By | June 9, 2017

Leo nakuletea makala hii ambayo nitahitaji uwe mtulivu sana, na uisome kwa kina ili tuweze kuelewana. Ni makala yenye hoja kinzani, hivyo ukienda nayo haraka, unaweza usinielewe, au ukaona inakwenda kinyume na kile ambacho nimekuwa nakushirikisha kila siku. Ninachotaka kukuambia ni kwamba, watu wengi waliofanikiwa ni waongo, na hii inapelekea (more…)

UKURASA WA 890; Unachoona Ni Sahihi?

By | June 8, 2017

Huwa tunaamini sana kile tunachoona, lakini je tunachoona ni sahihi? Hili ni swali muhimu sana kujiuliza kila wakati. Kabla hujajipa uhakika wa kile ambacho unakiona, jiulize kwanza kama unachoona ni sahihi. Unaweza kushangaa kwa nini nakuuliza hivyo wakati unaona mwenyewe? Je inawezekana ukajidanganya mwenyewe kwa unachoona? Jibu ni ndiyo, unajidanganya (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; MAMBO HAYATAKUWA MAZURI YENYEWE…

By | June 7, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Hii ni nafasi ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu MAMBO HAYATAKUWA MAZURI YENYEWE…. Watu wanapokuwa wanapitia changamoto mbalimbali, hufika mahali (more…)

Jinsi Ya Kumjua Mpumbavu Na Kumwepuka Ili Kupunguza Matatizo Kwenye Maisha Yako.

By | June 7, 2017

Kitu pekee ambacho unaweza kukipata kwa mpumbavu ni matatizo, hakuna la ziada. Maana mpumbavu hufurahia kuleta matatizo kwake mwenyewe na kwa wengine pia. Hivyo ni muhimu sana uweze kumjua mpumbavu na kumwepuka kabisa, na kama kwa bahati mbaya ukamjua wakati umeshaingia ‘anga zake’, basi uweze kujitoa haraka. Kwenye maisha yetu (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; HUHITAJI APP, UNAHITAJI NIDHAMU…..

By | June 6, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA, hatutauacha msingi huu kamwe kwenye maisha yetu. Asubuhi ya leo tutafakari kubusu APPS NA (more…)