UKURASA WA 888; Raha Leo, Maumivu Kesho…
Kitu chochote kinachokupa raha leo, basi kesho kitakupa maumivu. Hii ni kwa sababu hakuna raha inayodumu kwa muda mrefu, raha ni za muda mfupi pekee. Kila kinachokupa raha, hicho hicho kinakuja kukupa maumivu. Na maumivu haya yanakuja kwa pande mbili; Upande wa kwanza ni kile kile kinachokupa raha kinakuzalishia maumivu. (more…)
