Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 850; Chanzo Cha Kujiona Hufai…

By | April 29, 2017

Kuna wakati inafika mtu anajidharau yeye mwenyewe, anajiona hafai kwa jambo fulani. Ni sawa na mtu ambaye ana changamoto za kifedha kila siku, halafu unampa habari njema za kuondoka kwenye changamoto ile, anakuambia haitamfaa yeye. Kwa sababu anakuwa ameshazoea sana ile hali kiasi cha kuamini yale ndiyo maisha yake. Sifa (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; NEGATIVE NEWS…

By | April 28, 2017

Hongera rafiki kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nyingine kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora kabisa. Leo hii tunakwenda kuweka NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ili tuweze kufikia ndoto za maisha yetu. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu NEGATIVE NEWS…. Wanasema, mbwa akimng’ata mtu (more…)

UKURASA WA 849; Kuhodhi Ukweli…

By | April 28, 2017

Kuna vitu vingi kwenye maisha ambavyo watu wanaweza kuhodhi, na vikawapa faidia dhidi ya wengine. Kutokana na kuwahi kwao, wanazipata nafasi au fursa nzuri ambazo wanaokuja baadaye hawawezi kupata kama wao. Kwa mfano mtu ambaye anahodhi ardhi sehemu fulani, labda kwa kuwahi kwake au kwa kuinunua kwa bei rahisi mapema. (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; TEGEMEA USICHOTEGEMEA….

By | April 27, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa, ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUTEGEMEA USICHOTEGEMEA…. Kila mtu (more…)

UKURASA WA 848; Mteja Hatakuonea Huruma…

By | April 27, 2017

Unaweza ukatumia muda, nguvu na rasilimali zako nyingi katika kuifanya biashara yako kuwa bora zaidi, lakini kama kile unachofanya hakiongezi thamani kwa mteja, mteja hatahangaika na wewe, atakuacha na kwenda anakopata thamani anayotaka. Ni muhimu sana kulijua hili kwa sababu nimekuwa naona watu wanawalalamikia wateja, kwamba wateja hawana shukrani, kwamba (more…)

UKURASA WA 847; Wenye Uhitaji Zaidi Ndiyo Wasiotaka…

By | April 26, 2017

Kuna watu ambao wanahitaji sana msaada, lakini jaribu kutaka kuwasaidia, watakataa kabisa kwamba hawahitaji msaada wako. Hili ni jambo la kushangaza sana, lakini ndivyo ukweli ulivyo. Kadiri mtu anahitaji kitu sana, ndivyo inavyokuwa vigumu kwake kukikubali. Kwa mfano, mtu asiyejua, au anayefanya kitu kwa viwango vya hovyo sana, ukijaribu kumwelewesha (more…)

💥TAFAKARI YA LEO; JIFUNZE KUUZA….

By | April 26, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki yangu, Hongera kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa sana. Ni kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutawexa kufanya makubwa. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUJIFUNZA KUUZA…. Kama (more…)

UKURASA WA 846; Usifanye Vitu Hivi…

By | April 25, 2017

Rasilimali moja ambayo ina ukomo mkubwa na muhimu sana kwenye mafanikio ni muda. Muda ni muhimu, lakini pia muda ni mchache, masaa 24 kwa siku, hakuna nyongeza, hata ufanye nini. Lakini katika muda huu, wapo wanaofanikiwa, na wapo wanaoshindwa kufanikiwa. Wapo wanaoweza kufanya yale muhimu kwao na wapo ambao muda (more…)

UKURASA WA 845; Kabla Ya Sisi Na Baada Ya Sisi…

By | April 24, 2017

Kabla ya sisi palikuwepo na maisha hapa duniani. Walikuwepo watu ambao walikuwa na matatizo na changamoto zao. Walikuwa wakikazana kuifanya dunia kuwa sehemu bora zaidi ya kuishi. Na walikuwa wakiweka kila juhudi kuhakikisha wanapata kile walichotaka. Leo hii wengi sana hawapo nasi tena. Baada ya sisi watakuwepo watu pia hapa (more…)