UKURASA WA 823; Chagua Unamalizaje….
Watu wengi huja kugundua baadaye sana kwamba walifanya makosa au kupoteza muda kwa mambo ambayo hayakuwa muhimu kwao. Wanajilaumu kama wangejua mapema basi wangekuwa mbali sana. Hii ipo kwenye kila eneo la maisha, hasa kwa wale ambao wanachelewa kujitambua. Kitu kimoja ambacho wote tunajua ni kwamba huwezi kubadili yaliyopita, huwezi (more…)
