UKURASA WA 394; Kuhusu Kununua Furaha….
Wafanyabiashara na makampuni wameshajua udhaifu wetu sisi binadamu. Na udhaifu huu unatokana na kitu ambacho kila mmoja wetu anakitaka. Kuna kitu ambacho kila mmoja wetu anakitafuta. Kwa hatua zote tunazochukua, kwa juhudi zote tunazoweka kila siku, tunataka kupata kitu kimoja muhimu sana. Kitu hiki ni furaha. Kila mtu anataka furaha (more…)
