UKURASA WA 387; Tusiishie Kusifia Tu, Tufanye Pia…
Ni vizuri kusifia hasa pale ambapo kuna mtu au watu wamefanya jambo ambalo ni jema na linafaa kuigwa. Ila kuishia kusifia tu hakutakuwa na msaada kwetu, msaada utakuja pale ambapo tutajiuliza wao wamefanyaje halafu na sisi tukaanza kufanya. Hadithi za watu wenye mafanikio makubwa duniani zinapatikana kila mahali, wengi tunazijua (more…)
