Majibu Ya Maswali Na Maoni Kuhusu Kujiunga Na KISIMA CHA MAARIFA, Kama Bado Hujajiunga Usiache Kusoma Hapa.
Habari za leo rafiki yangu? Naamini uko vizuri na unaendelea kufanyia kazi yale ambayo unajifunza kupitia AMKA CONSULTANTS. Ninaamini kama tumekuwa pamoja kwa muda sasa umeshaanza kuona mabadiliko fulani kwenye maisha yako, na ndio maana bado tupo pamoja, vinginevyo ungeshaacha na kutumia muda wako huu adimu kwenye mambo mengine muhimu (more…)
