Karibu Kwenye Semina; 2016 NI MWAKA WANGU WA UBORA WA HALI YA JUU.
Habari za wakati huu rafiki? Naamini uko vizuri na unaendelea kufanyia kazi yale unayojifunza ili kuboresha maisha yako. hongera sana kwa hilo. Rafiki sasa tumekaribia ule muda ambao watu wengi huwa wanafanya vitu ambavyo hawajui ni kwa nini wanafanya. Watu wamekuwa wakisukumwa kufanya vitu fulani kwa sababu kila mtu anafanya. (more…)
