UKURASA WA 65; Unahitaji Mipango Mingapi Ili Kutangaza Kushindwa?
Swali; je unahitaji mipango mingapi ili kutangaza kushindwa? Jibu; Inategemea na nini unachotaka. Kama unajaribu tu kufanya kitu unahitaji mpango mmoja tu na ukishashwindwa huo unaweza kutangaza kushindwa na ukaachana na malengo yako. Ila kama unataka kushinda, unataka kupata mafanikio, kama unachotaka ni mafanikio tu na sio kingine, basi mipango (more…)
