#SheriaYaLeo (204/366); Tengeneza kidonda.
#SheriaYaLeo (204/366); Tengeneza kidonda. Watu huwa hawashawishiki kama hawajioni wakiwa na uhitaji. Hivyo unachopaswa kufanya ili kuwa na ushawishi kwa watu ni kuwafanya waone wana uhitaji. Unafanya hilo kwa kutengeneza kidonda ndani yao. Kwa kujua madhaifu yao au kile wanachokosa na kuweka mkazo zaidi kwenye hilo. Kwa kuwaonyesha wanaweza kuwa (more…)
