1429; Fanya Vizuri Au Usifanye Kabisa…

By | November 29, 2018

Rafiki, moja ya rasilimali muhimu ambazo ni adimu sana kwetu ni muda. Muda ukishapita haurudi tena, ukipoteza fedha unaweza kuipata, lakini ukipoteza muda ndiyo umeupoteza moja kwa moja, haurudi tena. Hivyo tunapaswa kuwa waangalifu sana kwa namba tunavyotumia muda tulionao, kwa sababu tukishaweka muda kwenye kitu chochote kile, hatuwezi kuurudisha (more…)

1428; Usikandamize Hisia Hasi Zinazoibuka Ndani Yako…

By | November 28, 2018

Sisi binadamu huwa tunapenda kuwa na raha na furaha muda wote. Kila wakati tunapenda kuwa kwenye hali ya hisia chanya, hizia za upendo, ujasiri, matumaini na furaha. Lakini siyo mara zote maisha yanakwenda kama tunavyotaka sisi, siyo kila wakati mambo yanakwenda kama tulivyopanga, na hapa ndipo chimbuko la hisia hasi (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; WAFUNDISHE, WAVUMILIE AU ACHANA NAO…

By | November 28, 2018

“Human beings have been made for the sake of one another. Teach them or endure them.” – Marcus Aurelius Ni nafasi nyingine nzuri na ya kipekee sana kwetu, Ni fursa ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA (more…)

1426; Jiwekee Viwango Vya Juu Na Usijipe Sababu…

By | November 26, 2018

Kitu kimoja ninachojifunza kila siku kuhusu mafanikio ni kwamba usipokuwa katili kwako wewe binafsi, mafanikio yatakuwa magumu sana. Na ninasema katili bila ya kulainisha kauli kwa sababu watu wengi wamekuwa wanajidanganya sana kuhusu mafanikio. Wengi wamekuwa wakiamini kwamba kama wakishakuwa na mtazamo chanya, na wakaamini mambo makubwa yanakwenda kutokea basi (more…)

1425; Kama Unataka Kulipwa Zaidi…

By | November 25, 2018

Kila mtu anapenda kulipwa zaidi, lakini wengi hawapo tayari kuweka juhudi ili kulipwa zaidi. Wengi huishia tu kwenye malalamiko kwamba wanapaswa kulipwa zaidi. Lakini kwa kuwa malalamiko huwa hayana msaada, wanaishia kulipwa kidogo. Popote ulipo, iwe umeajiriwa, umejiajiri au unafanya biashara, unapotaka kulipwa zaidi, kuna vitu vitatua ambavyo unapaswa kuvifanya, (more…)