1404; Tatizo La Watu Wanaojichukia Wenyewe…
Ni kwamba wanahamishia chuki yao kwa wengine pia. Watu wanaojichukia wenyewe, huwa wanatafuta kitu cha kuchukia kwa wengine pia, hata kama ni kitu ambacho hakina tatizo lolote. Mtu anayejichukia mwenyewe, hawezi kufanya kazi zake vizuri na hivyo hawezi kufanikiwa. Sasa anapoona wengine wamefanikiwa, anawachukia kwa sababu wao wamepiga hatua kuliko (more…)
