1399; Nguvu Ni Muhimu Kuliko Akili…

By | October 30, 2018

Tofauti kubwa kati ya wale wanaofanikiwa na wanaoshindwa huwa haianzii kwenye akili, bali kwenye nguvu. Kuna kiwango fulani cha akili ukishakuwa nacho, basi kinatosha kwa mafanikio yako na hata mwenye akili kuliko wewe, hawezi kukushinda kwa sababu tu ya akili yake. Kwa mfano kama unaweza kusoma hapa, hii ina maana (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UNAWEZA KUBADILI MAISHA YAKO LEO…

By | October 30, 2018

“Only human beings can reorder their lives any day they choose by refining their philosophy.” – Jim Rohn Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wa (more…)

1398; Tofauti Ya Waliofanikiwa Na Wasiofanikiwa Kwenye Muda Na Kazi…

By | October 29, 2018

Watu waliofanikiwa sana, mara zote huwa wana kitu cha kufanya. Huwezi kuwakuta wamekaa na kujiuliza sasa nifanye nini. Au wakajiambia wanapoteza muda kidogo kwa kufanya mambo yasiyo muhimu huku wakifikiria wafanye nini. Siku ya wale waliofanikiwa huwa imejaa, tangu kuamka mpaka wanaporudi kulala. Lakini siku ya wale ambao hawajafanikiwa, ipo (more…)

1397; Kazi Kubwa Ya Mjasiriamali Ni Hii…

By | October 28, 2018

Zama hizi, kila mtu anajiita mjasiriamali. Hakuna ubaya kwa watu kujiita wajasiriamali, lakini wanapaswa kujua maana ya ujasiriamali kabla ya kutumia neno hilo. Ili hata kama bado hawajafikia kwenye ujasiriamali wenyewe, wajue ni wapi na wakazane kufika hapo. Mjasiriamali ni mtu ambaye anatengeneza biashara na biashara ni mfumo ambao unajiendesha (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MUDA SIYO TIBA, BALI UNAWEKA VITU SAWA…

By | October 28, 2018

As Rilke wrote, “Time does not ‘console’ as people say superficially; at best it puts things in their place and it creates order.” Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo (more…)

1396; Thamani Yako Kwenye Soko La Kile Unachofanya…

By | October 27, 2018

Kanuni kuu ya uchumi, ambayo imetokana na kanuni za asili inasimamia kwenye upatikanaji na uhitaji. Pale uhitaji unapokuwa mkubwa kuliko upatikanaji, thamani ya kitu inakuwa kubwa zaidi. Lakini upatikanaji unapokuwa mkubwa kuliko uhitaji, thamani ya kitu inashuka. Dhahabu, shaba na chuma, yote ni madini, lakini yana thamani tofauti kutokana na (more…)

1395; Kipimo kipya cha mafanikio kwenye maisha yako…

By | October 26, 2018

Watu wengi huwa wanaogopa kusema wamefanikiwa, kwa sababu wanajiona hawajafikia zile ngazi ambazo watu wanaoitwa wamefanikiwa wamezifikia. Hivyo mafanikio yamegeuka kuwa mbio zisizokuwa na mwisho, kama mbwa kukimbiza mkia wake, anazunguka na kuukimbiza kwa kasi lakini haukamati, kwa sababu kadiri anavyoongeza kasi, ndivyo mkia nao unaongeza kasi. Kama hutakuwa na (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KINACHOKUSUMBUA NI KUKOSA MSIMAMO…

By | October 26, 2018

Hii ni siku nyingine mpya kwetu, Ni siku ambayo tuna nguvu ya kuitumia vile tunavyotaka. Tunaweza kuitumia siku ya leo kupiga hatua zaidi kuelekea kwenye ndoto zetu. Au tunaweza kuipoteza siku hii kwa kuwa bize na mambo ambayo hayana mchango wowote kwenye kufikia ndoto zetu. Kama utaianza siku ya leo (more…)

1394; Pima Kazi Yako Kwa Matokeo, Na Siyo Muda.

By | October 25, 2018

Kipimo bora sana unachopaswa kutumia kwa mafanikio yako, ni matokeo unayopata, na siyo nguvu wala muda, bali matokeo. Watu wengi wanapenda kutumia muda au nguvu wanazotumia kufanya kitu kama kipimo au kama njia ya kuonekana wanafanya sana. Ni rahisi kutumia njia hii, kwa sababu unaweza kuigiza kwa njia hii. Lakini (more…)