#TAFAKARI YA LEO; TABIA NA SIFA…

By | September 17, 2018

“Be more concerned with your character than with your reputation. Your character is what you really are, while your reputation is merely what others think you are.” – Coach John Wooden. AMKA Mwanamafanikio, AMKA kwenye siku hii nyingine nzuri sana na ya kipekee kwetu. Siku ambayo tumepata nafasi nyingine nzuri (more…)

BIASHARA LEO; Adhabu Ya Mteja Asiyenunua Kwako…

By | September 16, 2018

Najua hili limekuwa linatokea kwenye biashara yako mara nyingi. Kuna mteja ambaye amekuwa hanunui kwako, anakupita na kwenda kununua kwa muuzaji mwingine, japo na wewe unauza kile anachokwenda kununua kule. Sasa inatokea siku moja, mteja huyo anaenda kule anakoenda kununua, anakosa kitu hicho, halafu anarudi kwako. Unachukua hatua gani kwenye (more…)

UKURASA WA 1355; Maendeleo Ya Dunia Yanategemea Watu Wasio Wa Kawaida.

By | September 16, 2018

Mwandishi George Bernard Shaw amewahi kuandika; mtu wa kawaida anaenda kama dunia inavyotaka. Mtu asiye wa kawaida, anaifanya dunia iende kama anavyotaka yeye. Hivyo maendeleo yote duniani yanategemea mtu asiye wa kawaida. Kauli hii ina ukweli mkubwa sana, kwa sababu ni kweli maendeleo yote tunayofurahia duniani leo, yameletwa na watu (more…)

BIASHARA LEO; Tafuta Watu Ambao Tayari Wana Uhitaji…

By | September 15, 2018

Kuna njia mbili za kuingia kwenye biashara. Moja; unaweza kuanza na suluhisho, kisha ukatafuta tatizo ambalo suluhisho lako linatatua. Mbili; unaweza kuanza na tatizo, kisha ukatafuta suluhisho ambalo linatatua tatizo hilo. Njia zote ni sahihi, ila pale unapoanzia biashara chini, na ukiwa huna rasilimali za kutosha, unahitaji kuanza na tatizo (more…)

UKURASA WA 1354; Kubishana Na Kugombana…

By | September 15, 2018

Ni vitu viwili ambavyo siyo tu vinakupotezea muda na nguvu kwenye kuvifanya, bali pia ni vitu vya kijinga sana kufanya, ambavyo havina mchango wowote kwenye mafanikio yako. Hutaweza kufanikiwa kwa kushinda ubishani au ugomvi wako na wengine. Ubishani na ugomvi ni vitu ambavyo ukishaingia tu tayari umeshashindwa. Kwa sababu hata (more…)

BIASHARA LEO; Kama utaacha kuuza leo…

By | September 14, 2018

Kama ikatokea umeacha kuuza leo, je kuna watu watakaokosa kile unachouza? Je wapo watu ambao maisha yao yatakwama kwa sababu ya wewe kuacha kuuza kile unachouza? Kama ikitokea leo umeondoka kabisa kwenye biashara unayofanya, je kuna watu ambao watagundua uwepo wako? Iwapo ukiondoka hakuna anayegundua hata kama haupo, basi jua (more…)

UKURASA WA 1353; Kiwango Cha Fedha Kinachokupa Usingizi…

By | September 14, 2018

Kama hujui fedha ya kula kesho inatoka wapi, hutapata usingizi usiku kucha, utakuwa na mawazo sana kuhusu kesho yako na maisha yataendaje.   Kama hujui mwezi utaishaje, yaani kipato kimeshaisha kabla ya malipo mengine kufika, hutapata usingizi mzuri usiku, mara zote utakuwa na mawazo maisha yako yataendaje mpaka kipato kingine (more…)