UKURASA WA 970; Hamasa Haisubiriwi, Hamasa Inatengenezwa…
Hivi unafikiri mti wa mwembe huwa unatoa miembe wakati una hamasa au unatoa miembe kwa sababu ndiyo kazi yake? Vipi kuhusu viumbe wengine tunaoishi nao hapa duniani? Unafikiri kwamba wanakaa na kuona sasa nina hamasa basi acha nifanye kazi yangu? Jibu ni hapana, kila kiumbe kinatimiza wajibu wake hapa duniani, (more…)
