💥 #TAFAKARI YA LEO; FIRE ON ALL CYLINDERS….

By | March 6, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki? Ni imani yangu kwamba umeianza siku ya leo vizuri. Hii ni siku nyingine bora sana kwetu ambapo tunapata nafasi ya kwenda kuweka juhudi zaidi ili kuweza kupata matokeo bora zaidi. Tukitumia vizuri muda wetu wa leo, tutapiga hatua kubwa kukaribia ndoto zetu. Ni kwa (more…)

UKURASA WA 796; Changamoto Kuu Ya Sasa Ni Subira….

By | March 6, 2017

Tunaishi kwenye ulimwengu ambao mapinduzi ya sayansi na teknolojia yamebadili maisha kwa kiasi kikubwa mno. Ujio wa simu janja (smartphone), mtandao wa intaneti na mitandao ya kijamii, umebadili kila eneo la maisha yetu. Kuanzia kwenye kazi, biashara na hata maisha yetu ya kawaida, mambo siyo tena kama zamani. Kwa mfano (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; TOILET VS TEMPLE…

By | March 5, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Tutumie nafasi hii ya leo vizuri ili tuweze kupata matokeo bora. Ni kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana (more…)

UKURASA WA 795; Mshahara Au Faida Pekee Haitakufikisha Kwenye Utajiri.

By | March 5, 2017

Watu wengi wanapenda utajiri, lakini njia sahihi ya kufikia utajiri huo hawaijui. Na kwa kuwa hili halifundishwi popote, wanaishia kujaribu jaribu kila njia, wanajikuta wakipoteza muda na kutokuuona utajiri wenyewe. Kwanza kabisa wapo wale ambao hata hawajui utajiri ni nini. Wengi wanafikiri kuwa na kipato kikubwa ni utajiri, au kupata (more…)

UKURASA WA 794; Kipi Ulichofanya Mpaka Sasa…

By | March 4, 2017

Tunapofikiria kuhusu mafanikio na mipango mbalimbali ya maisha yetu, huwa tunaangalia nini tunakwenda kufanya. Tunaangalia ndoto na maono yetu makubwa ya siku za baadaye na nini tunahitaji kufanya ili kufika pale. Lakini ipo sehemu moja muhimu sana tunayosahau kuangalia, na sehemu hiyo ni nini tumeshafanya mpaka sasa. Kuangalia tunakokwenda ni (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; ISHI SASA…

By | March 3, 2017

Hongera rafiki kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora kabisa. Tutumie nafasi ya leo vizuri ili tuweze kufanya makubwa. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambao unatuwezesha kufanya nakubwa kwenye maisha yetu. Leo tutafakari (more…)

UKURASA WA 793; Sikio La Kufa….

By | March 3, 2017

Kuna sehemu ambapo nimekuwa napata huduma zangu za kimtandao, nimekuwa nafanya nao kazi kwa karibu miaka miwili sasa. Lakini miezi ya hivi karibuni, huduma zao zimekuwa siyo nzuri kama za awali, nimekuwa nakosa kile ninachokitaka hasa. Nimekuwa nawaeleza wazi kipi nataka na jinsi ninavyokikosa, wananipa ahadi wanafanyia kazi. Lakini baada (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; MAISHA SAFARI…

By | March 2, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Leo hii tunakwenda kuweka NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ili tuweze kupata matokeo bora kabisa. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu maisha no safari. Wengi wamekuwa wakitumia (more…)

UKURASA WA 792; Hiki Ndiyo Kinawafunga Wengi Wasilione Hata Tatizo…

By | March 2, 2017

Hivi ulishawahi kumwona mtu ambaye yupo kwenye shida fulani, halafu unaona kabisa ipo njia ya yeye kuweza kutoka kwenye shida ile. Unakazana kumwonesha namna anavyoweza kuondoka kwenye shida ile, ila yeye anaishia kukushangaa wewe, anakuona wewe ndiyo umepotea zaidi. Anajiona yeye yupo sawa kabisa, na wewe ndiyo una matatizo. Katika (more…)

UKURASA WA 791; Haya Yanatokea Kwenye Mchezo Wowote….

By | March 1, 2017

Kama umewahi kuangalia mchezo wa aina yoyote ile, utaona mambo fulani ambayo huwa yanatokea kwenye karibu kila mchezo, hasa michezo inayohusisha mazoezi ya mwili. Kuna wakati mchezaji anachezewa vibaya na mchezaji wa timu nyingine, wakati mwingine anaangushwa chini, na hata pia kuumizwa. Inajulikana hii ni sehemu ya mchezo, kwamba kuna (more…)