💥 #TAFAKARI YA LEO; MUDA NI SASA….

By | February 28, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Tuitumie siku ya leo vizuri iki tuweze kusogea karibu na ndoto za maisha yetu. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA tunaweza kufanya makubwa kwenye maisha (more…)

UKURASA WA 790; Kazi Yako/Yao Siyo Kukusanya Pesa….

By | February 28, 2017

Mafanikio ya biashara yoyote, yanaanzia kwenye ule msingi ambapo biashara hiyo imejengwa. Biashara ikijengwa kwenye misingi sahihi inakua na kuleta faida kubwa. Lakini biashara inapojengwa kwenye misingi isiyo sahihi, haiwezi kufika mbali. Msingi wa biashara unamwathiri kila anayehusika kwenye biashara hiyo. Mara nyingi watu huanza biashara kwa sababu wanataka kuanza, (more…)

By | February 27, 2017

Habari rafiki yangu kwa siku hii nyingime mzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Tutumie nafasi hii ya leo vizuri ili tuweze kufanya makubwa. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambao tunaweza kufanya makubwa zaidi kila siku. Asubuhi ya leo (more…)

UKURASA WA 789; Kutenda Na Kuitikia Matendo Ya Wengine…

By | February 27, 2017

Kwenye maisha wapo watu ambao wanatenda, watu ambao wanachukua hatua, kuendea ndoto zao kubwa ambazo wanazo kwenye maisha yao. Watu hawa wanajua nini wanafanya na kwa wakati gani. Wanajua hatua zipi wanahitaji kuchukua kila siku ili kuweza kufikia ndoto zao. Hawa ni watu wachache, na ndiyo wanaofikia mafanikio makubwa, kwa (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; OPTIONS (MACHAGUO.)

By | February 26, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki yangu? Hongera kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni matumaini yangu umeianza siku hii vyema na upo tayari kwenda kuweka juhudi kubwa ili uweze kupata matokeo makubwa. Nafasinya leo ni ya kipekee, itumie vizuri. Kumbuka msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambao (more…)

UKURASA WA 788; Usiwe Mmoja Kati Ya Hawa…

By | February 26, 2017

Kuna kitu kimoja kinachonishangaza sana kuhusu watu wa kawaida, anaweza kuwa na malalamiko mengi sana juu ya kitu fulani, akalalamika mpaka ukamwonea huruma, na hivyo kufikiria njia bora kwake kuchukua hatua. Unamwambia njia hiyo na namna ya kufanya, halafu anakuja na sababu lukuki kwa nini hawezi kufanya hivyo, au alishajaribu (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; MISINGI NA WATU…

By | February 25, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa kwenye kile ambacho tumechagua kufanya. Tutumie nafasi ya leo vizuri ili tuweze kupata matokeo bora kabisa. Ni kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tunaweza kufanya makubwa kabisa. (more…)

UKURASA WA 787; Epuka Kaburi Hili La Upya…

By | February 25, 2017

Nimeona kaburi moja ambalo linazika ndoto za wengi, kaburi hilo ni upya. Wapo watu ambao wanapanga kufanya kitu, lakini kabla hawajaanza au pale tu wanapoanza, inajitokeza fursa mpya, ambayo inaonekana ni bora zaidi. Wanaacha kile walichotaka kufanya au walichokuwa wameanza, wanakimbiza kile kipya. Wakianza tena wanaona kingine kipya zaidi. Wanakimbizana (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; HAZINA MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO.

By | February 24, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni zawadi ya kipekee sana kwetu kwenda kufanya makubwa siku ya leo. Ni jambo la kushukuru kuiona siku hii kwa sababu wapo wengi walioipangilia kabisa siku ya leo, lakini hawajaweza kuiona, au hawataweza kuifanyia kazi kama walivyopanga, kutokana na (more…)

UKURASA WA 786; Mtu Mwenye Bahati Mbaya Na Mtu Mwenye Kisirani…

By | February 24, 2017

Mtu mwenye bahati mbaya sana kwenye hii dunia, ni yule ambaye hajajua ni nini anataka kwenye maisha yake, hajajua ndoto yake kubwa ni ipi na hajui kipi cha kipekee anachoweza kuchangia hapa duniani. Hivyo anajikuta anafanya kile ambacho wengine wanafanya, hathubutu kufanya makubwa wala ya kipekee, kwa sababu hajui makubwa (more…)