💥 #TAFAKARI YA LEO; UNAJULIKANA KWA LIPI??

By | February 23, 2017

Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora zaidi. Leo hii ishi kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ili uweze kufanya makubwa zaidi. Asubuhi ya leo tutafakari unachojulikana nacho, Je ni sifa (more…)

UKURASA WA 785; Njia Bora Kabisa Ya Kulalamika Ni Hii.

By | February 23, 2017

Kama unavyojua, kitu ambacho nimekuwa nakusihi mara nyingi sana usifanye ni kulalamika. Nimekuwa nakuonesha namna gani kulalamika na kulaumu wengine hakutaweza kukuletea wewe mafanikio. Kwa sababu unapoona wengine hawajafanya vile ulivyofikiri ni sahihi kwako, unakuwa umewakabidhi wao mamlaka juu ya maisha yako. Unakuwa umewaambia kwamba nyie ndiyo mnaoweza kunipa mafanikio (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; DISCONNECT…

By | February 22, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki? Hongera kwa nafasi hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni fursa kubwa na ya kipekee kwetu kwenda kufanya yale tuliyopanga kufanya. Tutumie muda wetu wa leo vizuri, kwa sababu ukishapita haurudi tena. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu kuDISCONNECT… Tuna fursa ya kipekee ya kuishi (more…)

UKURASA WA 784; Ni Ipi Gharama Halisi?

By | February 22, 2017

Ipo gharama ya vitu ambayo imeandikwa au unaambiwa pale unapoulizwa, lakini mara nyingi hii siyo gharama halisi. Hasa inapokuwa kitu bei yake ni ndogo kuliko vitu vingine vinavyofanana na hicho. Wapo watu wengi ambao wamekuwa wanakimbilia kununua kitu kwa sababu tu bei yake ni rahisi, lakini ukija kukaa chini na (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; TOO GOOD TO BE TRUE.

By | February 21, 2017

Habari za asubuhi ya leo mwanamafanikio? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA tutaweza kufanya makubwa sana siku ya leo. Asubuhi ya leo tutafakari nafasi ya nafsi (more…)

UKURASA WA 783; Ubinafsi Muhimu Kwako…

By | February 21, 2017

Ukisimama mbele ya watu na kusema wewe ni mbinafsi, watakuangalia vibaya na kukuchukulia wewe ni mtu mbaya, usiyejali wengine. Hii ni kwa sababu ubinafsi umepewa picha ambayo siyo nzuri. Hasa pale unapohusishwa na fedha au mali, mtu mbinafsi anaonekana kuwadhulumu wengine ili yeye apate zaidi. Lakini tupo hapa tulipofika binadamu (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; MWANZO MGUMU…

By | February 20, 2017

Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo rafiki. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Kumbuka msingi wetu muhimu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA. Kika unachofanya siku ya leo, usiache msingi huo muhimu nyuma. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu MWANZO MGUMU. (more…)

UKURASA WA 782; Kufanya Kile Unachojisikia Kufanya….

By | February 20, 2017

Kuna kufanya kile ambacho unapenda kufanya kwenye maisha yako, na hichi ndiyo kinakuletea mafanikio makubwa. Lakini wengi wamekuwa wanachanganya kile wanachopenda kufanya na kile wanachojisikia kufanya. Kile unachopenda kufanya ni tofauti kabisa na kile unachojisikia kufanya. Unachojisikia kufanya kinaathiriwa na namba unavyoweza kujisikia kwa wakati husika. Ukiwa umechoka unaweza kujisikia (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; ACTION VS REACTION…

By | February 19, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Tumepata nafasi nyingine nzuri sana ya kwenda kuweka juhudi zaidi kwenye kile ambacho tumechagua kufanya. Msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ndiyo utatufikisha mbali zaidi kwa kutuwezesha kufanya makubwa zaidi. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu ACTION na REACTION. (more…)

UKURASA WA 781; Kujilisha Upepo…

By | February 19, 2017

Tatizo la kujilisha upepo ni kwamba huwezi kushiba, hata tumbo likijaa upepo, haitachukua muda utatoka na utaendelea kuwa na njaa yako kama ilivyokuwa awali. Wapo watu ambao wameamua kuyaishi maisha yao kwa mtindo huu wa kujilisha upepo. Na upepo ambao wamekuwa wanajilisha ni matumaini ya uongo juu ya maisha ya (more…)