UKURASA WA 429; Jaribio La Machujio Matatu…
Hadithi inakwenda kwamba mtu mmoja alikwenda kwa Socrates na kutaka kumwambia alichosikia kuhusu rafiki yake. Socrates alikuwa mwanafalsafa aliyeheshimika sana enzi hizo za utawala wa kigiriki. Socrates alimwambia mtu yule, kabla hujaniambia chochote kuhusu rafiki yangu, naomba kwanza nikupe jaribio la machujio matatu, kuhusu habari unazotaka kuniambia. Chujio la kwanza (more…)
