Maeneo matatu ya kuongeza nguvu kwenye biashara yako mwaka huu 2016.
Katika biashara zote, kuna maeneo ambayo ni muhimu sana, ambayo ndiyo yanafanya biashara iweze kusimama na kwenda. Na kuna maeneo mengine ambayo ni muhimu, lakini sio sana, kiasi kwamba hata yasipopewa nguvu kubwa biashara bado inakwenda vizuri. Sisemi kwamba usizingatie eneo fulani la biashara yako, bali ninachokwambia ni kwamba kuna (more…)
