UCHAMBUZI WA KITABU; Are You Full Charged?
Kitabu ARE YOU FULL CHARGED ni kitabu kinachotupa mbinu za kuweza kuongeza uzalishaji kwenye kazi zetu na kuwa na maisha bora pia. Kwa sasa tunaishi kwenye dunia yenye kelele nyingi na ni vigumu sana kufanikisha kile ambacho mtu unataka kwenye maisha. Kwa kujijua wewe mwenyewe vizuri, na kujua ni kitu (more…)
