Tag Archives: HUDUMA KWA WATEJA

BIASHARA LEO; Kuhusu Wateja Wasionunua Kwako.

By | May 8, 2015

Kwenye biashara unayofanya, kuna wateja ambao unajua kabisa wanaweza kunufaika na biashara yako, ila mpaka sasa hawanunui kwako. Je umewahi kujiuliza ni kwa nini? Kama bado unapoteza wateja wengi sana, hao unaowajua tayari na hata ambao bado hujawajua. Kwenye biashara, kama ilivyo kwenye maisha ya kawaida, hakuna kitu kinachotokea kw (more…)

BIASHARA LEO; Mlazimishe Farasi Kwenda Mtoni Na Mlazimishe Kunywa Maji.

By | May 6, 2015

Wahenga walisema kwamba unaweza kumlazimisha farasi kwenda mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji. Kwa upande wa biashara, kauli hii sio kweli hata kidogo. Kwenye biashara unaweza kumlazimisha farasi kwenda mtoni na pia ukamlazimisha kunywa maji. Na wala hutumii nguvu kubwa sana, yaani ukishamfikisha karibu na maji tu yeye mwenyewe akayakimbilia. (more…)

BIASHARA LEO; Kama Mteja Anaweza Kununua Kwa Mtu Yeyote, Kwa Nini Anunue Kwako?

By | May 5, 2015

Swali rahisi sana; kama mteja anaweza kununua kwa mtu yeyote, kwa nini aje kununua kwako? Unaweza kujibu swali hili? Kama huwezi upo kwneye hatari. Ila usijali, nipo hapa ili tuweze kusaidiana ili uweze kufikia mafanikio kwenye biashara yako. Kama mteja anaweza kununua kw amtu yeyote na hana sababu nyingine yoyote (more…)

BIASHARA LEO; Aina Tatu Za Wateja Na Jinsi Unavyoweza Kufaidika Nao.

By | April 29, 2015

Unapoanza biashara, una kazi kubwa ya kufanya kujua wateja wako ni watu wa aina gani. Hili ni jambo muhimu sana ili uweze kuwapatia kile ambacho wanahitaji, uweze kutatua matatizo yao na kisha wakupatie wewe fedha. Japokuwa wateja wako wanawez akuwa na tatizo sawa, lakini bado hawafanani. Kutokana na tabia tofauti (more…)

BIASHARA LEO; Kama Hujaweza Kumpata Mteja Huyu, Huna Biashara.

By | April 28, 2015

Lengo la biashara ni kutengeneza wateja ambao watakuwa wanakuamini na mtaendelea kufanya biashara pamoja. Wateja hawa watakuw atayari kuwaambia watu wengine kuhusiana na biashara yako na hivyo kuleta wateja wengi zaidi. Lakini sio wateja wote ni sawa na wote hawapatikani kwa njia moja rahisi. Kuna wateja ambao unaweza kuwapata kirahisi (more…)

BIASHARA LEO; Usimseme Vibaya Mshindani Wako Mbele Ya Mteja Wako.

By | April 22, 2015

KARIBU KWENYE SEMINA YA MAFANIKIO KUPITIA BIASHARA MWAKA 2015. AMKA CONSULTANTS imekuandalia semina ya mafanikio kwenye biashara mwaka 2015. Katika semina hii utajifunz amambo yote muhimu yatakayokuwezesha kuanza, kukuza na kufikia mafanikio kwenye biashara yako. Semina itaanza tarehe 04/05/2015 na itaendeshwa kwa mwezi mzima kwa njia ya mtandao(yaani email). Mwisho (more…)

BIASHARA LEO; Hawa Ndio Wateja Rahisi Kuwapata Kwenye Biashara Yako.

By | April 18, 2015

Moja ya changamoto ambazo zinawazuia wafanyabiashara wengi kufikia mafanikio ni upatikanaji wa wateja. Wafanyabiashara wengi sana hutumia nguvu nyingi kumfanya mteja afike kwenye biashara yake, lakini mteja anapofika pale anajilaumu ni kitu gani kimempeleka pale na hatokuwa tayari kurudi tena. SOMA; Maswali Matatu Muhimu Ya Kujiuliza Kwenye Wazo Lako La (more…)

BIASHARA LEO; Kitu Muhimu Kujua Kuhusu Mteja Wako.

By | April 14, 2015

Mafanikio yako kwenye biashara yanategemea kwa kiasi kikubwa ni jinsi gani unamjua mteja wako vizuri. Kumbuka tulishakubaliana kwamba lengo lako kubwa kwenye biashara ni kutengeneza wateja na ukishaliweza hilo faida inafuata bila hata ya kuumiza sana kichwa. Nasisitiza sana hili la wateja kwa sababu ndipo udhaifu mkubwa ulipo kwa wafanyabiashara (more…)

BIASHARA LEO; Kama Unabadili Bei Kamwe Usifanye Hivi…

By | April 9, 2015

Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mafunzo ninayotoa utakuwa unaelewa kwamba tunajaribu kujenga utamaduni mpya kwenye biashara. Na utamaduni huu ni ule wa kufanya biashara kirafiki na kuwa na wateja ambao wanakuamini na kukutegemea. Mbinu nyingi tunazoshirikishana ni za kuweza kumfanya mteja awe rafiki yako na afurahie kufanya biashara na wewe. (more…)

BIASHARA LEO; Umuhimu Wa Hadithi Ya Biashara Yako.

By | April 3, 2015

Tunaishi kwenye dunia ambayo watu hawanunui kwa sababu tu unauza. Zamani biashara ilikuwa rahisi, uza na watakuja kununua. Fungua biashara na watu watakuja. Tangaza biashara yako kwenye vyombo vinavyowafikia wafikia wengi na utapata wateja wengi. Ila sasa hivi mambo mengi yamebadilika. Watu hawanunui tena kwa sababu wewe unauza, hii ni (more…)