Tag Archives: MBINU ZA MAFANIKIO

Ni Afadhali Kupotea Kuliko Kubaki Hapo Ulipo.

By | January 9, 2015

Moja ya vitu ambavyo vinawafanya wengi kuogopa kuchukua hatua ya kubadili maisha yao ni kuogopa kupotea. Yaani okuoghopa kushindwa au kuogopa hali kuwa mbaya kuliko ilivyo sasa hivi. Ukweli ni kwamba ni heri upotee kuliko ubaki hapo ulipo. Maana utakapopotea utajifunza na kujua ipi ni njia sahihi. Ukibaki hapo ulipo (more…)

Njia mbili za kutengeneza kipato zaidi mwaka huu 2015

By | January 5, 2015

Njia mbili za kutengeneza fedha zaidi kwa mwaka huu 2015. Tunakubaliana wote kwamba fedha ni muhimu. Na haijalishi sasa hivi unazo kiasi gani, bado unahitaji zaidi kwa sababu gharama za maisha zinapanda kila siku. Kama upo Tanzania, mwaka huu 2015 kuna njia kuu mbili za kupoata fedha zaidi. 1. Njia (more…)

Hii Hapa Ni Njia Rahisi Ya Kujitolea Uvivu Mwaka Huu 2015

By | January 4, 2015

Mara nyingi huenda umekuwa mtu wa kuahirisha mambo. Unaweka mipango yako vizuri ila inapofikia utekelezaji unaahirisha na kusema utafanya baadae au utafanya kesho. Sasa kuna dawa moja ya kuondoa kabisa uvivu huu. Fikiria hivi, ambao ndio ukweli; Wakati wewe umelala kuna mwenzako anapiga mzigo ili kufanikiwa. Wakati wewe unakula kuna (more…)

Kozi 1100 Unazoweza Kujifunza Bure Kupitia Mtandao.

By | December 31, 2014

Mwaka 2015 ndio huu hapa, una nafasi kubwa ya kuanza kufanya mabadiliko makubwa kwenye maisha yako kuanzia leo. Ili uweze kubadili maisha yako, elimu ni muhimu sana. Ni muhimu sana kujifunza na kuongeza maarifa ili kuweza kuwa na utaalamu utakaokufanya ufanye kazi nzuri na ya kipekee itakayokuwezesha kuboresha maisha yako. (more…)

Adui Yako Anaanzia Hapo Ulipo Na Anaanza hivi.

By | December 20, 2014

Adui yako ni wewe mwenyewe na anaanza na hofu zako…Una hofu ngapi leo asubuhi?Una hofu kama utakula leo mchana na jioni?Una hofu kama mshahara utaingia kabla ya krismas?Una hofu kama krismasi yako itakuwa nzuri?Una hofu kama baraza la mawaziri litabadilishwa au halitabadilishwa?Una hofu kama serikali itafanya maisha kuwa rahisi zaidi?Una (more…)

Hiki Ni Kitu Unachotakiwa Kufanya Kila Siku…

By | December 19, 2014

Linapokuja swala la kuhamasika/kuhamasishwa sio kitu kinachotokea mara moja halafu ghafla unakuwa mtu uliyehamasika.Hiki ni kitu ambacho kinatakiwa kutokea kila siku ya maisha yako. Usifikiri unasoma kitabu kimoja unapata maarifa yote unayohitaji, unatakiwa kujifunza kila siku kila siku, yaani namaanisha KILA SIKU, kama jinsi ambavyo UNAOGA KILA SIKU na kama (more…)

Vitu Vitamu Muhimu Unavyohitaji Ili Kuingia Kwenye Biashara.

By | December 13, 2014

Ili kuingia kwenye biashara zama hizi unahitaji vitu vitatu tu;i. Kidadavuzi mpakato(laptop)ii. Simu ya mkononi yenye uwezo mkubwa(smartphone)iii. Wazo.Na wazo sio lazima liwe kubwa sana, linaweza kuwa wazo la kawaida sana ambalo wengine wanalipuuza.Kama una vitu hivyo vitatu na hujui uanzie wapi niandikie kwenye makirita@kisimachamaarifa.co.tzAngalizo; uwe tayari kufanya kazi, sio (more…)

Maswali matatu muhimu ya kujiuliza leo ili kujua muelekeo wa maisha yako.

By | December 6, 2014

Maswali matatu muhimu ya kujiuliza ili kujua ni nini unapaswa kufanya.i. Ni kitu gani ambacho unajua unataka ukifanye ila bado unakipuuzia kukifanya?ii. Ni kitu gani unaweza kukisimamia leo?iii. Ni kitu gani haupo tayari kukiacha/kukiharibu hata kama kungetokea nini?Kwa kujibu maswali haya utajua ni kipi muhimu kwako na anza kukifanyia kazi.Kama (more…)

Kesho ni siku muhimu sana kwako, na itumie kufanya jambo hili moja muhimu.

By | November 30, 2014

Kesho ni tarehe moja mwezi wa kumi na mbili. Maana yake ni kwamba ni siku ya kwanza ya mwezi wa mwisho wa mwaka huu 2014.Kuanzia kesho zitakuwa zimebaki siku 30 tu mwaka uishe!Je mwaka huu 2014 uliendaje kwako?Je malengo na mipango uliyojiwekea umeyatimiza!Tumia siku ya kesho kutafakari mwaka huu umekwendaje.Nakutakia (more…)

UMUHIMU WA KUSOMA ZAIDI NA KUSOMA KILA MARA;

By | November 29, 2014

i. Jinsi unavyoishi jifunze jinsi ya kuishi, hakuna anayejua kila kitu.ii. Viongozi bora wa uchumi mpya watakuwa ni wale wanaoweza kufikiri vizuri.iii. Kufikiri vizuri kunajengwa na kusoma sana.iv. Unachohitaji ili kubadili maisha yako moja kwa moja ni wazo moja tu kutoka kwenye kitabu sahihi.v. Beba kitabu popote unapokuwa, ukiwa unamsubiri (more…)