Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1400; Aina Mbili Za Thamani Na Jinsi Ya Kuzitumia Kwa Mafanikio Yako…

By | October 31, 2018

Zipo aina kuu mbili za thamani unazopaswa kuzijua na kuzifanyia kazi kila siku kwa ajili ya mafanikio yako. Aina ya kwanza ni thamani ya fedha, hii ni thamani ambayo watu wanalipa kwa fedha. Kama unalipa elfu kumi, thamani ya fedha hiyo ni elfu kumi. Aina ya pili ni thamani ya (more…)

#TAFAKARI YA LEO; FIKIRIA KILE UNACHOTAKA MARA ZOTE….

By | October 31, 2018

Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa TATUA, AMUA NA ONGOZA tunakwenda kufanya makubwa leo na kila (more…)

1399; Nguvu Ni Muhimu Kuliko Akili…

By | October 30, 2018

Tofauti kubwa kati ya wale wanaofanikiwa na wanaoshindwa huwa haianzii kwenye akili, bali kwenye nguvu. Kuna kiwango fulani cha akili ukishakuwa nacho, basi kinatosha kwa mafanikio yako na hata mwenye akili kuliko wewe, hawezi kukushinda kwa sababu tu ya akili yake. Kwa mfano kama unaweza kusoma hapa, hii ina maana (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UNAWEZA KUBADILI MAISHA YAKO LEO…

By | October 30, 2018

“Only human beings can reorder their lives any day they choose by refining their philosophy.” – Jim Rohn Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wa (more…)

1398; Tofauti Ya Waliofanikiwa Na Wasiofanikiwa Kwenye Muda Na Kazi…

By | October 29, 2018

Watu waliofanikiwa sana, mara zote huwa wana kitu cha kufanya. Huwezi kuwakuta wamekaa na kujiuliza sasa nifanye nini. Au wakajiambia wanapoteza muda kidogo kwa kufanya mambo yasiyo muhimu huku wakifikiria wafanye nini. Siku ya wale waliofanikiwa huwa imejaa, tangu kuamka mpaka wanaporudi kulala. Lakini siku ya wale ambao hawajafanikiwa, ipo (more…)

1397; Kazi Kubwa Ya Mjasiriamali Ni Hii…

By | October 28, 2018

Zama hizi, kila mtu anajiita mjasiriamali. Hakuna ubaya kwa watu kujiita wajasiriamali, lakini wanapaswa kujua maana ya ujasiriamali kabla ya kutumia neno hilo. Ili hata kama bado hawajafikia kwenye ujasiriamali wenyewe, wajue ni wapi na wakazane kufika hapo. Mjasiriamali ni mtu ambaye anatengeneza biashara na biashara ni mfumo ambao unajiendesha (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MUDA SIYO TIBA, BALI UNAWEKA VITU SAWA…

By | October 28, 2018

As Rilke wrote, “Time does not ‘console’ as people say superficially; at best it puts things in their place and it creates order.” Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo (more…)

1396; Thamani Yako Kwenye Soko La Kile Unachofanya…

By | October 27, 2018

Kanuni kuu ya uchumi, ambayo imetokana na kanuni za asili inasimamia kwenye upatikanaji na uhitaji. Pale uhitaji unapokuwa mkubwa kuliko upatikanaji, thamani ya kitu inakuwa kubwa zaidi. Lakini upatikanaji unapokuwa mkubwa kuliko uhitaji, thamani ya kitu inashuka. Dhahabu, shaba na chuma, yote ni madini, lakini yana thamani tofauti kutokana na (more…)

1395; Kipimo kipya cha mafanikio kwenye maisha yako…

By | October 26, 2018

Watu wengi huwa wanaogopa kusema wamefanikiwa, kwa sababu wanajiona hawajafikia zile ngazi ambazo watu wanaoitwa wamefanikiwa wamezifikia. Hivyo mafanikio yamegeuka kuwa mbio zisizokuwa na mwisho, kama mbwa kukimbiza mkia wake, anazunguka na kuukimbiza kwa kasi lakini haukamati, kwa sababu kadiri anavyoongeza kasi, ndivyo mkia nao unaongeza kasi. Kama hutakuwa na (more…)