UKURASA WA 864; Usipunguze Bei, Ongeza Thamani…
Watu wengi wanapoingia kwenye biashara, huwa wanaangalia njia rahisi ya kuwazidi washindani wao. Na njia rahisi kabisa, isiyohitaji ubunifu wa aina yoyote ile ni kupunguza bei. Lakini kama ilivyo kwa vitu vingi rahisi, huwa vina madhara, na madhara ya kupunguza bei ni makubwa sana kwenye biashara yoyote ile. Kwani kupunguza (more…)
